Msafara wa kikosi cha Yanga tayari umeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkaoni Kigoma ambako Jumapili, Julai 25 wanakabiliwa na mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya SImba
Mchezo unatarajiwa kupigwa uwanja wa Lake Tanganyika



ADVERTISE HERE