Wakati wao wakitengeneza 'cinema' huko mitandaoni, kikosi cha Yanga kimetua salama mkoani Kigoma kukamilisha maandalizi ya mwisho tayari kwa mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba
Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema macho yao wameyaelekeza katika ubingwa hivyo hakuna 'cinema' inayoweza kuwatoa kwenye reli...!





ADVERTISE HERE