Pamoja na kuzagaa kwa taarifa kuwa aliondoka nchini baada ya mkataba wake kumalizika, mshambuliaji Fiston Abdulrazak yuko katika kikosi cha Yanga kilichowasili mkoani Kigoma mapema leo tayari kwa mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba
Mchezo unapigwa Jumapili pale uwanja wa Lake Tanganyika. Kwa wale ambao hawamuelewi Fiston, amewaachia ujumbe kuwa tayari wamemuelewa..!
ADVERTISE HERE