Nabi alia na uwanja wa mazoezi Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2021
Nabi alia na uwanja wa mazoezi Kigoma

Baada ya kuwasili mkoani Kigoma mapema jana, jioni Yanga ilianza kujifua kujiandaa na mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Simba ambao utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Lake Tanganyika

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameeleza kutoridhishwa na hali ya uwanja waliopewa kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mwisho

Hata hivyo, Nabi amesema walikamilisha maandalizi jijini Dar es salaam sasa wanafanya maandalizi ya kimbinu ili kuwaweka wachezaji sawa

"Uwanja wa mazoezi si rafiki sana, tunafanya mazoezi ya kimbinu kuhakikisha wachezaji wanakuwa katika mtazamo mmoja kutokana na hali ya mchezo wenyewe," alisema

Yanga imedhamiria kushinda mchezo huo ili kutwaa taji la FA walilotwaa kwa mara ya mwisho mwaka 2016

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’