Kesi ya Morrison kitaeleweka Julai 29

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jul 2021
Kesi ya Morrison kitaeleweka Julai 29

Kwa wale waliokuwa wakihoji kuhusu taarifa ya kesi ya Yanga dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison, watulie kwani kesi hiyo itaanza kusikilizwa rasmi kuanzia Julai 29 huko Uswisi

Awali kesi hili ili[pangwa kuanza kusikilizwa Julai 21 lakini kesi haikusikilizwa kutokana na muingiliano wa sikukuu ya Eid

Kupitia tovuti yao rasmi, CAS ORG taarifa ya kesi hiyo unaweza kuona iko kwenye orodha ya kesi ambazo zitasikilizwa Julai 29

Kwa wale waliokuwa hawaamini uwepo wa kesi hiyo sasa watulie, wasubiri majibu. Kuna watu wanaweza kulia wiki ijayo...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’