Mapema kabisa mashabiki wameanza kuingia uwanja wa Lake Tanganyika kusubiri mchezo wa fainali kombe la Shirikisho (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa saa kumi jioni katika uwanja huo
Mashabiki wamefika uwanjani tangu saa moja wakisubiri kufunguliwa kwa mageti ambayo yalitarajiwa kuwa wazi kuanzia saa mbili asubuhi


ADVERTISE HERE