Mshambuliaji anayesubiri utambulisho Fiston Mayele amewatakia kheri nyota wa Yanga kuelekea mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Lake Tanganyika baadae leo
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Mayele amebainisha kuwa ana imani kikombe kitaelekea kwa Wananchi leo
ADVERTISE HERE