Kikosi cha Yanga kimetua mapema leo jijini Dar es salaam kikitokea mkoani Mwanza kisha kuunganisha moja kwa moja visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.
Yanga ilicheza na Mbao FC jana na kupoteza kwa mabao 2-0.
Mchezo wa kwanza wa Yanga katika michuano ya kombe la Mapinduzi utapigwa kesho Januari 02 kwenye uwanja wa Amani dhidi ya Mlandege.

ADVERTISE HERE