Kikosi cha Yanga kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea Kigoma ambako jana walicheza mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba na kupoteza mchezo huo kwa bao 1-0
Ni muda wa kujipanga kwa ajili ya msimu ujao



ADVERTISE HERE