Licha ya kutokuwa na msimu mzuri kwenye mzunguuko wa pili wa ligi kuu ya Vodacom msimu ulimalizika, Donald Ngoma ataendelea kubaki Jangwani.
Ngoma anadaiwa kumaliza tofauti zake na viongozi wa Yanga na yeye mwenyewee ameomba asiachwe.
Uongozi wa Yanga ulikuwa tayari kuachana nae kutokana na 'vurugu' alizokuwa anafanya msimu uliomalizika, lakini pia kingine kilichomsaidia ni mwalimu kumjumulisha kwenye mipango yake msimu ujao.

ADVERTISE HERE