Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi Julai 2021, Ligi Kuu ya Vodacom
Mwezi Julai, Nabi ameiongoza Yanga katika michezo mitatu ya ligi akipata ushindi dhidi ya Simba, Ihefu Fc na kulazimishwa sare dhidi ya Dodoma Jiji
Nabi amewashinda Didier Gomes wa Simba na Mathias Lulle wa Mbeya City
ADVERTISE HERE