Mazembe wajitosa kumuwania Fei Toto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2021
Mazembe wajitosa kumuwania Fei Toto

Kumekuwa na tetesi kuwa klabu ya TP Mazembe imevutiwa na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' wakiwasilisha ofa inayokadiriwa kufikia Tsh Milioni 460

Fei Toto amekuwa katika kiwango bora sana msimu huu, wengi walitarajia ujio wa ofa kwa ajili yake

Hata hivyo haitakuwa rahisi kwa Yanga/GSM kumuachia nyota huyo kama hawatapokea ofa 'iliyoshiba'

Fei Toto alisaini mkataba wa miaka minne msimu uliopita, mkataba ambao utafikia tamati mwaka 2024

Msimu huu Fei Toto amefunga mabao matano na kutoa pasi mbili za mabao

Alionyesha makali zaidi baada ya ujio wa kocha Mohammed Nabi aliyembadilishia majukumu kutoka nafasi ya kiungo mkabaji na kumsogeza mbele, kiungo mshambuliaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
28m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’