Yanga kuingia kambini Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2021
Yanga kuingia kambini Ijumaa

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuingia kambini siku ya Ijumaa, Julai 30 kujiandaa na michuano ya kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza August 1, 2021 jijini Dar es salaam

Yanga imepangwa kundi C pamoja na timu za Express (Uganda) na Nyasa Big Bullets (Malawi)

Imeelezwa Yanga itashiriki michuano hiyo ikitumia baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza (7), timu ya vijana U20 na nyota wapya wanaosajiliwa na mabingwa hao wa kihistoria

Yanga imetoa mapumziko ya wiki mbili kwa wachezaji wake sambamba na benchi la ufundi ambapo kocha Mohammed Nasreddine Nabi na baadhi ya wasaidizi wake nao wameondoka kwenda mapumziko

Kocha Razak Siwa atasimamia timu kwenye michuano ya Kagame akishirikiana na wakongwe Fred Mbuna na Mohammed Hussein 'Mmachinga'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’