Salamu za shukrani kutoka kwa Yacouba Songne

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2021
Salamu za shukrani kutoka kwa Yacouba Songne

Mshambuliaji wa Yanga Yacouba Songne, amewashukuru mashabiki kwa sapoti waliowapa wachezaji katika msimu uliomalizika

Pamoja na kutofanikiwa kufikia malengo ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu na kombe la FA, Yacouba ameeleza kujivunia sapoti ya mashabiki na kuahidi kuwa watawapa furaha wakati mwingine

"Ningependa kuwashukuru mashabiki wa timu hii mashuhuri Young Africans kwa sapoti waliyotupatia muda wote msimu huu katika kuwania ubingwa wa Tanzania"

"Hatukushinda fainali iliyosubiriwa kwa muda mrefu lakini natumai timu yetu ilishinda uaminifu wako tena na mioyo yenu hata zaidi"

"Ujumbe wako moyo wako ulinigusa, napaswa kushukuru kwa hilo. Hii ndio mito ambayo kesho itakuwa maua ya ushindi wetu"

DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’