Kiungo mshambuliaji Juma Mahadhi amerejeshwa kikosini baada ya kumaliza kuitumikia klabu ya Ihefu Fc kwa mkopo wa miezi sita
Mahadhi angali na mkataba na Yanga hivyo amerejeshwa kuendelea na majukumu yake
Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Mahadhi atakuwa miongoni mwa wachezaji watakaoshiriki michuano ya kombe la Kagame inayoanza jijini Dar es salaam August 01
Mahadhi aliongeza mkataba wa miaka miwili kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Ihefu Fc
ADVERTISE HERE