Niyonzima amtabiria makubwa Waziri Junior

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jul 2021
Niyonzima amtabiria makubwa Waziri Junior

Kiungo Haruna Niyonzima amesema anavutiwa na mshambuliaji Waziri Junior akiamini wakati wake wa kung'ara utafika

Waziri alifunga mabao mawili katika msimu uliopita akiwa ametumika katika michezo michache

Niyonzima amesema Waziri ni mchezaji mwenye jitihada, uwezo wake haujaonekana kwa sababu hakuwa akipata nafasi ya kucheza mara kwa mara

"Nampenda bwana mdogo Waziri Junior ni mchezaji mwenye jitihada lakini hajapata nafasi ya kuonesha uwezo wake. Hata tukiwa mazoezini kuna vitu anavifanya naona ni mshambuliaji mzuri," alisema Niyonzima

Yanga ilimsajili Waziri kutoka klabu ya Mbao Fc ambayo aliifungia mabao 17 katika mashindano yote msimu wa 2019/20

Bado ana mkataba wa mwaka mmoja na mabingwa hao wa kihistoria

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’