Klabu ya Yanga imemshukuru aliyekuwa nahodha wake Lamine Moro baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, imebainisha kuwa kusitishwa kwa mkataba wa Lamine ni baada ya makubaliano ya pande mbili

ADVERTISE HERE