Shauri la Yanga dhidi ya mchezaji Bernard Morrison limesikilizwa leo na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS)
Maamuzi ya shauri hilo yatatolewa wakati wowote kuanzia leo mpaka August 24 huko Uswisi
Hatimaye sakata hilo linakwenda kufikia tamati huku ikielezwa kama Yanga itashinda, athari zitakuwa kubwa kwa Morrison pamoja na klabu yake ya Simba
Je alisaini mkataba kama inavyoonekana katika picha hapa chini? au hakusaini? itafahamika..


ADVERTISE HERE