Aliyekuwa kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima amerejea kwao Rwanda kujiunga na AS Kigali kwa mkataba wa mwaka mmoja
Niyonzima ameondoka Yanga baada ya mkataba wake kumalizika huku akiagwa kwa heshima baada ya kuitumikia Yanga kwa mafanikio makubwa
Alirejea Yanga mwaka 2019 akitokea klabu ya AS Kigali ambayo alikuwa ameitumikia kwa miezi sita tangu alipoondoka Simba Juni 2019
Kila la kheri Fabregas
ADVERTISE HERE