Mahadhi aahidi kuzaliwa upya 2018, aomba apewe nafasi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jan 2018
Mahadhi aahidi kuzaliwa upya 2018, aomba apewe nafasi
Waraka wa Juma Mahadhi kwa mwaka 2018

Asalam alykum ndg zangu katika Imani haja yang kwenu ni kuomba radhi kwa mashabiki wangu wote na wapnz wote wa mpira wa miguu duniani.

Nakiri kufanya makosa hapo nyuma na nimejifunza mengi kupitia nyinyi nawaomba sana radhi.

Haja ya moyo wangu ni kutaka kufikia malengo yangu niliyojiweka lakini kwa mwaka 2017 ilikua ngumu sana kutokana na changamoto nilizokutana nao.

Sasa ombi langu kwenu Mashabiki,Viongozi na bench la ufundi ni kuwamba kijana wenu nahitaj msamaha kama niliwakosea bado nahitaji nafasi naamin siwez kurudia kosa kwan nimejifunza mengi.

Naahidi kuwa Mahadhi mpya naomba Imani yenu kwangu na kama mnaona bado naitajika katika timu yangu pendwa Yanga SC.

Tumaini langu ni kuwa kilio changu kimewafikia nahitaji sasa kuanza mwaka mpya nikiwa kijana mwema na mpya.

Asanteni sana nawapenda wote.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’