Mchezo dhidi ya Nyasa Big Bullets kupigwa usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2021
Mchezo dhidi ya Nyasa Big Bullets kupigwa usiku

Michuano ya CECAFA Kagame Cup inaanza leo jijini Dar es salaam kwa mchezo mmoja kupigwa kati ya Yanga dhidi ya Nyasa Big Bullets kutoka Malawi

Taarifa iliyotolewa na CECAFA, imebainisha kuwa mashindano ya mwaka huu yataanza kwa kupigwa kwa mchezo mmoja kati ya wenyeji Yanga dhidi ya waalikwa Big Bullets FC

Mechi hiyo imesogezwa mbele kutoka saa 10:00 jioni na sasa itapigwa saa 1:00 usiku kwenye dimba la Benjamin Mkapa

Aidha, mchezo kati ya timu ya Express ya Uganda dhidi ya Atlabara kutoka Sudan Kusini, itachezwa Jumatatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’