Timu ya Taifa ya Vijana U23 imerejea jijini Dar es salaam leo wakitokea Ethiopia ambako walifanikiwa kushinda ubingwa CECAFA Challenge juzi kwa kuichapa Burundi kwa mikwaju ya penati 6-5
Hili ni taji la kwanza kwa kocha Kim Poulsen aliyetua mapema mwaka huu kuchukua nafasi ya Etienne Ndayiragije


ADVERTISE HERE