Yanga imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Biashara United Yusufu Athumani
Yusufu ametua kwa Wananchi kwa mkataba wa miaka mitatu
Ni rasmi, usajili wake umetambulishwa kwa Wananchi..
Karibu Yusufu Athumani......!

ADVERTISE HERE