Injinia Hersi afunguka usajili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Aug 2021
Injinia Hersi afunguka usajili Yanga

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Injinia Hersi Said amesema usajili unaoendelea kufanywa na Yanga ni mapendekezo ya kocha Nasreddine Nabi

Jana Yanga ilimtambulisha mchezaji wa kwanza aliyesajiliwa katika dirisha la usajili lililofunguliwa Julai 19 ambaye ni mshambuliaji Fiston Mayele kutoka AS Vita

Leo Wananchi wamemtambulisha mchezaji wa pili, mshambuliaji mzawa Yusuph Athuman kutoka Biashara United

Hersi amesema wamekamilisha usajili wa wachezaji wengine kulingana na mapendekezo yaliyotolewa na mwalimu

"Tunatarajia kumtambulisha mshambuliaji mwingine wa kigeni, pia yupo mlinzi wa kati raia wa kigeni. Pia katika eneo la kiungo tuna nafasi za wachezaji Carlinhos na Haruna Niyonzima," alisema Hersi

Sehemu ya mahojiano aliyofanya na Azam Tv kuhusu usajili wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’