Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Yanga, utapigwa Septemba 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mchezo huo ni maalum kuzindua msimu mpya wa Ligi Kuu 2021/22
Ni mchezo wa kwanza wa dabi kuelekea msimu ujao...!

ADVERTISE HERE