Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo wamesaini mkataba wa haki za matangazo ya Radio ya Ligi Kuu wenye thamani ya shilingi Bilioni 3 kwa miaka 10
Pichani juu, Rais wa TFF Wallace Karia (Kulia) na Mratibu wa Miradi na Masoko TBC Gabriel Nderumaki (kushoto) wakiwa na mfano wa hundi ya Mkataba huo
TBC itatoa kitita cha Tsh Milioni 300 kila mwaka
ADVERTISE HERE