Bado kuna wengine - Mfikirwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2021
Bado kuna wengine - Mfikirwa

Baada ya kuwatambulisha washambuliaji Fiston Mayele na Heritier Makambo, Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema wataendelea kuwatambulisha nyota wengine kadiri michakato yao inavyokamilika

Mfikirwa amedokeza kuwa kuna nyota wengine watatu raia wa kigeni

Msimu huu Yanga imekuja na utaratibu tofauti wa kutambulisha wachezaji baada ya kusaini mkataba na Azam Media waliopewa haki ya Maudhui ya Yanga

Utambulisho utaendelea kutangazwa kupitia Azam Media na kurasa rasmi za Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
55m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’