Wananchi dimbani dhidi ya Atlabara leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Aug 2021
Wananchi dimbani dhidi ya Atlabara leo

Kikosi cha Yanga leo kitashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza mchezo wa pili kombe la Kagame dhidi ya Atlabara ya Sudan Kusini

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Nyasa Big Bullets katika mchezo wa kwanza, Yanga inahitaji kushinda leo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali

Mchezo utapigwa kuanza saa moja kamili usiku ukitanguliwa na mchezo kati ya Nyasa Big Bullets dhidi ya Express

Express inaongoza kundi A ikiwa na alama tatu baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Atlabara katika mchezo wa kwanza

Yanga na Nyasa Big Bullets zina alama moja kila moja baada ya kutoka sare mchezo uliopita

Atlabara wanashinda mkia wakiwa wamepoteza mchezo wao dhidi ya Express

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
47m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’