Kiungo mshambuliaji Juma Mahadhi amerejeshwa kikosini baada ya kuitumikia Ihefu Fc kwa mkopo wa miezi sita
Baada ya kuwa nje kwa zaidi mwaka mmoja, hatimaye Mahadhi amepona taratibu akianza kurejea katika ubora wake
Michuano hii ya Kagame inaweza kumsaidia kuongeza kujiamini na pengine kurejesha makali yake
Huyu ni mchezaji ambaye Yanga ilimsajili kutoka klabu ya Coastal Union akiwa na uwezo mkubwa sana
Amepitia changamoto kubwa na majeraha ya muda mrefu, ni wazi kadiri anavyopata nafasi ya kucheza ataendelea kuimarika
ADVERTISE HERE