Carlimhos kuijaza mapesa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Aug 2021
Carlimhos kuijaza mapesa Yanga

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Carlos Carlinhos amesajiliwa na klabu ya Sagrada Esperanca ya Angola akiwa mchezaji huru

Carlimhos aliachana na Yanga mwezi May baada makubaliano ya pande zote mbili

Nyota huyo alikuwa na wakati mgumu kuzoea mazingira ya Tanzania, akiwa mchezaji mwenye mahitaji ya tofauti na wachezaji wengine

Katika kuvunja mkataba wake, Miongoni mwa makubaliano yaliyoafikiwa ni kuwa timu yoyote itakayomsajili nje ya Tanzania itapaswa kuilipa Yanga sehemu ya dau la usajili

Makubaliano hayo pia yalimzuia Carlinhos kusajiliwa na timu yoyote kutoka Tanzania katika kipindi cha miaka minne au la timu hiyo itapaswa kuilipa Yanga sio chini ya dola laki mbili

Hivyo baada ya nyota huyo kutua Sagrada Esperanca, wananchi wana fungu lao kutoka kwa timu hiyo

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’