Winga Tuisila Kisinda anatarajiwa kutua nchini Morocco kukamilisha usajili wake na klabu ya RS Berkane, imefahamika
Nyota huyo tayari amekatiwa Visa ya kuingia Morocco tangu August 06 inayomalizika Septemba 09
Ni wazi Kisinda amepewa ruhusa na Yanga kusafiri Morocco kwa ajili ya kwenda kukamilisha taratibu za usajili kwani bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Yanga
Kama makubaliano yatafikiwa, Yanga inaweza kuingiza 'fedha ndefu'
VISA YAKE HII HAPA
ADVERTISE HERE