Wachezaji wa Yanga waliokuwa mapumziko, wameanza kurejea jijini Dar es salaam tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara pamoja na michuano ya Kimataifa
Mshambuliaji Yacouba Songne ni miongoni mwa wachezaji walioianza safari ya kurejea nchini akitokea kwao Burkina Faso
Yanga inatarajiwa kuingia kambini mwishoni mwa wiki kuanza maandalizi
Mabingwa hao wa kihistoria watasafiri nchini Morocco kwa ajili ya kuweka kambi
ADVERTISE HERE