Shabani Djuma yuko njiani na Moloko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Aug 2021
Shabani Djuma yuko njiani na Moloko

Mlinzi mpya wa Yanga Shabani Djuma akiwa ameongozana na winga Jesus Moloko, watawasili nchini usiku wa leo tayari kuungana na wachezaji wenzao kukamilisha taratibu za safari ya Morocco

Nyota hao waliosajiliwa na Yanga kutokea klabu ya AS Vita, ujio wao unakamilisha orodha ya nyota wa kigeni waliosajiliwa na Yanga

Wachezaji wote wanatarajiwa kuripoti kambini Kigamboni kesho Ijumaa, August 13 ambapo Jumamosi, watakamilisha taratibu muhimu ikiwa ni pamoja na kupata chanjo ya virusi vya corona Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Kikosi cha Yanga kitaondoka Tanzania siku ya Jumapili, August 15 kuelekea Morocco ambako wataweka kambi ya takribani siku 11

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’