Kiungo kiraka Said Juma Makapu amewaaga Wanachama na Mashabiki wa Yanga baada ya kuwatumikia kwa takribani miaka saba
Makapu ametoa shukrani kwa uongozi, benchi la ufundi, wachezaji, Wanachama na Mashabiki kwa sapoti aliyopata katika kipindi chote alichoitumikia Yanga
"Hakika ilikuwa ni miaka saba bora Sana kwangu, ndani na nje ya Uwanja. Yanga ilikuwa sehemu ya familia Yangu"
"Nitoe Shukrani zangu za dhati kwa Uongozi, benchi la Ufundi, wachezaji na mashabiki wote, kwa kuniamini na kuniunga mkono katika kila Jambo"
"Ni mengi nimejifunza na nina amini yatanisaidia kunijenga zaidi kama mchezaji. asanteni sana. Wakati mwingine tena, Wananchi"
ADVERTISE HERE