Kikosi cha Yanga kiliwasili Dubai usiku wa kuamkia leo ambapo msafara uliojumuisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi walipata mapumziko
Kikosi kinaondoka asubuhi ya leo Jumatatu kuelekea Morocco wanakotarajiwa kuwasili mchana wa leo
Yanga inatarajiwa kuanza maandalizi yake huko Morocco kesho






ADVERTISE HERE