Taarifa njema kwa vijana wenye vipaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Aug 2021
Taarifa njema kwa vijana wenye vipaji

Uongozi wa Yanga unawakaribisha vijana wa kitanzania na nje ya mipaka ya Tanzania kujitokeza kwenye Clinic ya utafutaji wa vipaji Chini ya miaka 20.

Kocha Msaidizi wa Yanga U20 Fredy Mbuna akishirikiana na Bakari Malima ndio wanaosimamia zoezi hilo.

Zoezi hili limeanza jana na bado linaendelea kwenye viwanja vya chuo cha Mawasiliano(Ubungo)

Ni kuanzia saa 1:00 asubuhi. Vijana 20 watapata nafasi ya kusajiliwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’