Yanga U-20 kukipiga na timu kutoka Korea leo

Admin By Admin
β€’
8 Jul 2017
Yanga U-20 kukipiga na timu kutoka Korea leo
TAARIFA

Leo, Jumamosi, Julai 08 kwenye uwanja wa uhuru kutakuwa na mchezo wa kirafiki kati ya Yanga SC U-20 watakaopambana na Timu ya Haleluya toka Korea.

Mchezo utaanza saa nane mchana na utakua hauna kiingilio.

Tunaombwa kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti vijana wetu maana pia kuna wachezaji baadhi watajaribiwa kwaajili ya kusajiliwa kwenye timu yetu kwa msimu ujao wa ligi kuu.

Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano
Young Africans Sports Club.

8-7-2017

UPDATE
Mchezo ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’