Mukoko yupo sana Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2021
Mukoko yupo sana Yanga

Kiungo Mcongomani Mukoko Tonombe amezungumzwa sana kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya mashabiki wakihoji mbona haonekani?

Mwamba huyu yuko kambini na kikosi cha Yanga kinachoendelea na pre-season yake nchini Morocco

Yanga iliwahi kuthibitisha kupokea ofa kutoka klabu kadhaa zilizokuwa zikihitaji huduma yake

Hata hivyo jambo la uhakika ni kuwa Mukoko hauzwi, huyu ni mchezaji muhimu katika kikosi cha Yanga katika kutimiza mipango ya msimu ujao

Ni mchezaji kiongozi, ambaye hakuna shaka, Wananchi hawapaswi kuwa na hofu yoyote kuhusu uwepo wake Yanga

Mukoko ataondoka Morocco kwenda kujiunga na timu ya Taifa DR Congo kwa ajili ya michezo ya kuwania kufuzu kombe la Dunia, moja ya michezo hiyo ikiwa dhidi ya Tanzania, Septemba 02

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Kim Poulsen leo anatarajiwa kutangaza wachezaji aliowaita kujiunga na timu ya Taifa. Kwa wale wa Yanga ambao watajumuishwa kwenye kikosi hicho, nao wanaweza kuondoka Morocco kurejea nchini

Itakuwa hivyo pia kwa wachezaji wa Mataifa mengine ambao wataitwa kwenye timu zao za Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’