Waziri Junior anunua mkataba wake Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2021
Waziri Junior anunua mkataba wake Yanga

Mshambuliaji Waziri Junior ni mchezaji huru baada ya kununua sehemu ya mkataba wake na Yanga, imefahamika

Waziri alikuwa amebaki na mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Yanga

Hakuwa kwenye mipango ya Kocha Nasreddine Nabi ambapo mchezaji huyo alikuwa mbioni kutolewa kwa mkopo

Waziri amenunua mkataba uliobaki ili awe huru kujiunga na klabu nyingine huku ikielezwa tayari ana ofa kadhaa moja ya ofa hizo ikiwa kutoka nje ya nchi

Katika mwaka mmoja aliyoitumikia Yanga, Waziri alifunga mabao mawili akishiriki kwa mara ya mwisho kwenye michuano ya kombe la Kagame ambako alifunga bao moja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’