Wakati Yanga ikiendelea kutakata kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi, mshambuliaji wake Obrey chirwa bao yuko nchini Zambia tangu mwezi uliopita.
Chirwa amegoma kurejea akishinikiza alipwe sehemu ya pesa zake za usajili anazodai.
Chirwa amekuwa akiweka picha kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram akiwa kwao nchini Zambia akiendelea na maisha.

Kukosekana kwa Chirwa bado hakujaiathiri Yanga huko visiwani Zanzibar ikiwa tayari imeshinda michezo yake yote miwili ya kwanza.
Yanga itashuka tena dimbani leo kukabiliana na Taifa ya jan'gombe katika mchezo unaotarajiwa kupigwa saa mbili na robo usiku.

ADVERTISE HERE