Kwa sasa habari ya mjini ni shamrashamra za wiki ya Mwananchi ambapo kilele chake ni Jumapili, August 29 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Siku hiyo baada ya utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi, kikosi cha Yanga kitashuka dimbani kuikabili Zanaco Fc ikiwa timu alikwa
Shamra shamra za siku hiyo zitaambatana na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa wasanii wa ndani huku ikielezwa GSM watamshusha nchini Mwanamuziki mashuhuri kutoka DR Congo Koffi Olomide
Wananchi wamepania kuandika Historia katika wiki ya Mwananchi ya mwaka huu
ADVERTISE HERE