Jana kiungo Khalid Aucho alipata nafasi ya kufanya mazoezi na wachezaji wenzake licha ya kuwa alichelewa kutua nchini Morocco
Kiungo huyo wa Kimataifa wa Uganda, hakuhitaji muda kudhihirisha ubora wake
Ni mtu wa kazi kwelikweli! Wananchi wakae tayari kwa burudani...


ADVERTISE HERE