Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuwa jezi mpya kwa ajili ya msimu wa 2021/22, zitazinduliwa rasmi keshokutwa Jumatano jijini Dar es salaam
Aidha kupitia taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mapema leo, Yanga imeeleza sababu za uamuzi wa kusitisha kambi nchini Morocco
Yanga imewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wake kuendelea kuhamasishana kwa ajili ya wiki ya Mwananchi ambayo kilele chake ni August 29 uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE