Tambwe, Abdul wajiunga na timu ya Championship

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Aug 2021
Tambwe, Abdul wajiunga na timu ya Championship

Aliyekuwa mtupia mabao mahiri wa Yanga Amissi Tambwe amerejea Tanzania na kujiunga na klabu ya DTB itakayoshiriki Championship (zamani daraja la kwanza) msimu ujao

Baada ya kutemwa na Yanga, Tambwe alirejea kwao Burundi ambako alicheza kwa mafanikio

Dili la DTB limemrejesha tena jijini Dar es salaam mshambuliaji huyo sasa akikabiliwa na mtihani wa kuisaidia timu hiyo kupanda daraja kucheza ligi kuu msimu ujao

DTB pia imemsajili nahodha wa zamani wa Yanga Juma Abdul ambaye msimu uliopita alitumika kunako ligi kuu ya Zambia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’