Uongozi wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Serikali umeandaa utaratibu wa chanjo kwa mashabiki kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi siku ya Jumapili
Chanjo hiyo itapatikana uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia kesho Jumamosi, saa nne mpaka saa kumi jioni
Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Yanga wamehimizwa kuchukua tahadhari ya uviko 19 ikiwa ni pamoja na kupata chanjo

ADVERTISE HERE