Wananchi mkiamua hamshindwi! Mpaka wakati huu tiketi za Royal na VIP A zimemalizika
Sasa unaweza kukata tiketi za VIP B na C kwa kiingilio cha Tsh 20,000/- na Mzunguuko Tsh 5,000/-
Yawezekana leo zoezi la kukata tiketi litafungwa kwani uwanja utakuwa umejaa...!
Kesho pale kwa Mkapa hapatatosha....!

ADVERTISE HERE