Mfadhili na Mhisani wa Young Africans Sc Ghalib Said Mohamed (GSM) tayari ameshawasili ndani ya Dimba la Benjamin Mkapa kushuhudia shamra shamra za Wiki ya Mwananchi
Wananchi wamefurika uwanja wa BenjaminΒ Mkapa wakiendelea kupata burudani
Michezo miwili ya utangulizi imechezwa ambapo Yanga U20 walipoteza mechi yao dhidi ya Cambiaso Sport Academy kwa kufungwa mabao 3-1 wakati mchezo wa pili ulikuwa kati ya Yanga Princess dhidi ya Ilala Queens nao ukimalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1
Hii ni siku ya Wananchi, ni wao wanaotamba nchi nzima...!




ADVERTISE HERE