Sasa ni muda wa kazi - Makambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2021
Sasa ni muda wa kazi - Makambo

Mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo ameeleza kufarijika baada ya kufunga bao pekee katika mchezo wa pre-season dhidi ya Zanaco Fc katika kilele cha Wiki ya Mwananchi

Makambo amerejea katika kikosi cha Yanga baada ya misimu miwili akitokea klabu ya Horoya Ac

Amesema amefurahi tena kuungana na mashabiki wa Yanga akiahidi kufanya kazi kwa nguvu zote

"Nimefurahi sana kufunga pia nimefurahi sana kuona tena mashabiki wangu kwani muda mrefu sana nilikuwa nimewamiss,sasa mambo mazuri zaidi yanakuja sasa ni Muda wa Kazi tu"

Aidha Makambo amewatoa hofu mashabiki wa Yanga akiwahakikishia timu yao ni nzuri ana imani kubwa watafanya vizuri msimu huu

"Tuna wachezaji wote wanajua mpira, nafikiri tutaendelea kuimarika tutakuwa vizuri sana," alisema Makambo

Baada ya kumaliza wiki ya Mwananchi, Yanga imerejea kambini Avic Town kujiandaa na mchezo wa kwanza wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United

Mchezo utapigwa Septemba 12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’