Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) limevikumbusha vilabu kuwa dirisha la usajili kwa klabu za Ligi Kuu, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa 2021/22, linafungwa leo ifikapo saa 5.59 usiku
Klabu zimetakiwa kuhakikisha zinakamilisha usajili na uhamisho wa Kimataifa kwani hakutakuwa na muda wa ziada
Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji 28, lakini bado ina nafasi ya wachezaji wawili ambao wanaweza kuongezwa sasa au katika dirisha dogo la usajili
ADVERTISE HERE