Aliyekuwa mlinzi na nahodha wa klabu ya Yanga Lamine Moro, amesajiliwa na klabu ya AS Kigali ya Rwanda
Moro anaungana na mkongwe Haruna Niyonzima ambaye alirejea timu hiyo baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika
Moro alifikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake na uongozi wa Yanga hivyo amejiunga na timu hiyo akiwa mchezaji huru
Kila la kheri Mwamba...!
ADVERTISE HERE